forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
701 B
Markdown
24 lines
701 B
Markdown
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu
|
|
|
|
# apo ilikuwa wakati nilipoweka bahari mpaka wangu,
|
|
|
|
Nlifanya mipaka kwa ajili ya bahari.
|
|
|
|
# mpaka
|
|
|
|
Yahweh aliumba mpka kuzunguka bahari kwamba bahari haziruhusiwi kuuvuka.
|
|
|
|
# nilipoweka makomeo yake na milango,
|
|
|
|
Yahweh analinganisha namna alivyotengeneza mpaka wa bahari na ya kwamba bahari ina milango na makomeo. "Hivyo niliweka vizuizi ili kwamba maji yasiweze kuvuka juu ya nchi."
|
|
|
|
# makomeo
|
|
|
|
ni kpande kirefu cha ubao au chuma ambacho hutumika kwa ajili ya kufungia mlango.
|
|
|
|
# kwa fahari ya mawimbi yako
|
|
|
|
Yahweh anazungumzia juu ya mawimbi kana kwamba walikuwa ni watu. Ina maana kwamba mawimbi yana fahari kwa kuwa yana nguvu.
|