sw_tn/job/38/08.md

32 lines
710 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu.
# huifunga bahari
Yahweh anatumia swali hili ili kutia mkazo kwamba aliifanya bahari.
# huifunga bahari kwa milango
Yahweh analinganisha njia aliyoitumia kuizuia bahari ili isiigharikishe dunia yote na kuishikilia bahari kwa nyuma.
# kana kwamba inatoka katika tumbo
Yahweh analinganisha uumbaji wake wa bahari na uzazi.
# mavazi yake
kama nguo kwa ajili ya bahari
# giza nene
:mawingu meusi sana"
# na giza nene kuwa mkanda wake wa kujifungia
"na kufunga katika mawingu mazito Kama mkanda wa kujifungia"
# mkanda wake wa kujifungia
Hiki ni kipande cha nguo ambacho watu walikitumia kuwafunga watoto wachanga baada ya kuzaliwa.