forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
662 B
Markdown
16 lines
662 B
Markdown
# Je unafahamu kuelea kwa mawingu, matendo ya ajabu ya Mungu, Je ni nani aliyemkamilifu katika maarifa?
|
|
|
|
"Haufahamu kuelea kwa mawingu, matendo ya ajabu ya Mungu, ambaye ni mkamilifu katika maarifa."
|
|
|
|
# kuelea kwa mawingu
|
|
|
|
"jinsi mawingu yanavyoelea"
|
|
|
|
# matendo ya ajabu ya Mungu
|
|
|
|
"njia za miujiza ambayo kwayo huyafanya mawingu yaelee katika anga"
|
|
|
|
# Je unafahamu ni kwa jinsi gani mavazi yako huwa ya moto wakati nchi ikiwa imetulia kwasababu ya upepo unaotoka upande wa kusini?
|
|
|
|
"Wewe haufahamu jinsi ya kuzuia kutoka kwa jasho katika nguo zako; ni hatari sana wakati upepo wa joto kali unapokoma kuvuma kutoka kusini na majani yote katika miti hutulia"
|