sw_tn/job/36/27.md

8 lines
251 B
Markdown

# kuna hata mmoja awezaye kuelewa kwa undani kusambaa kwa mawingu na radi kutoka katika nyumba yake?
Jibu lisilo la wazi ni "Hapana"
# nyumba yake
Mahali hapa ni "nyumba yake" inawakilisha anga la juu mahali ambapo Mungu hudhani kuwa huiishi huko.