# kuna hata mmoja awezaye kuelewa kwa undani kusambaa kwa mawingu na radi kutoka katika nyumba yake? Jibu lisilo la wazi ni "Hapana" # nyumba yake Mahali hapa ni "nyumba yake" inawakilisha anga la juu mahali ambapo Mungu hudhani kuwa huiishi huko.