sw_tn/job/36/22.md

12 lines
353 B
Markdown

# Angalia
Neno 'angalia' mahali hapa linaongeza mkazo kwa kile kinachofuata
# nani aliye mwalimu kama yeye?
Jibu lililofichwa kwa swali hili ni "hakuna" "Hakuna mwalimu kama yeye" au "hakuna awezaye kufundisha kama anavyofanya yeye"
# Ni nani alishamwalekeza njia yake?
"Hakuna hata mmoja ambaye alishamwamuru yeye na kumwelekeza kitu cha kufanya.