# Angalia Neno 'angalia' mahali hapa linaongeza mkazo kwa kile kinachofuata # nani aliye mwalimu kama yeye? Jibu lililofichwa kwa swali hili ni "hakuna" "Hakuna mwalimu kama yeye" au "hakuna awezaye kufundisha kama anavyofanya yeye" # Ni nani alishamwalekeza njia yake? "Hakuna hata mmoja ambaye alishamwamuru yeye na kumwelekeza kitu cha kufanya.