forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
478 B
Markdown
12 lines
478 B
Markdown
# Je unadhani hii ni sawa ....'Haki yangu mbele ya Mungu?
|
|
|
|
Elihu anatumia maswali ili kumtia changamoto Ayubu. "Lazima ufikiri wewe ni mwenye haki....haki yangu mbele za Mungu"
|
|
|
|
# Je unadhani
|
|
|
|
hapa kiambishi 'u' ni umoja na kinamwakilisha Ayubu.
|
|
|
|
# Kwa kuwa unauliza, 'Inafaa nini kwangu' na 'Ingekuwa nzuri kwangu kama ningekuwa nimetenda dhambi?
|
|
|
|
"kwa kuwa wasema haijalishi kuwa uko mwenye haki, na ya kwamba hakuna faida zaidi kwako kuliko kama ungekuwa umetenda dhambi"
|