sw_tn/job/34/24.md

20 lines
364 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# Huwavunja vipande vipande watu wenye nguvu
"Huwaharibu watawala"
# kwa ajili ya njia zao ambazo hazihitaji uchunguzi zaidi
"kwasababu anajua tayari kile alichokifanya"
# huwaweka watu wengine katika nafasi zao
"na anachagua watu wengine kutawala katika nafasi zao"
# wakati wa usiku
"wakati wasioutarajia"