# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza # Huwavunja vipande vipande watu wenye nguvu "Huwaharibu watawala" # kwa ajili ya njia zao ambazo hazihitaji uchunguzi zaidi "kwasababu anajua tayari kile alichokifanya" # huwaweka watu wengine katika nafasi zao "na anachagua watu wengine kutawala katika nafasi zao" # wakati wa usiku "wakati wasioutarajia"