forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
485 B
Markdown
16 lines
485 B
Markdown
# Elihu
|
|
|
|
Angalia jinsi alivyofasiri katika 32:1
|
|
|
|
# Sikilizeni maneno yangu
|
|
|
|
"Sikiliza kile ninachokisema"
|
|
|
|
# ninyi watu wenye hekima....ninyi mlio na maarifa
|
|
|
|
Elihu anamkosoa Ayubu na marafiki zake. Hafikiri kama ni watu wenye hekima kweli.
|
|
|
|
# Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno kama ambavyo kaakaa huonja chakula.
|
|
|
|
Elihu anamaanisha kwamba watu wasikilize kwa makini ili kujua kilicho cha haki au kibaya kama tu vile ambavyo tunaonja chakula kutambua kama ni chakula kizuri au kibaya.
|