sw_tn/job/33/27.md

16 lines
321 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anazidi kuzungumza na Ayubu
# lakini dhambi yangu haikuadhibiwa
"lakini Mungu hakuniadhibu mimi kwa kutenda dhambi"
# ameiokoa roho yangu
"aliniokoa mimi"
# maisha yangu yataendelea kuuona mwanga
Atauona mwanga wa maisha badala ya giza ambalo angeliliona katika kifo. "nitaendelea kuishi"