sw_tn/job/33/23.md

12 lines
240 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuongea na Ayubu
# kwa ajili yake
Hii haimrejelei mtu maalumu. Elihu anaendelea kuongea na mtu yeyote kwa ujumla.
# mmoja miongoni mwa maelfu ya malaika,
"mmoja kutoka katika kundi kubwa la malaika"