# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuongea na Ayubu # kwa ajili yake Hii haimrejelei mtu maalumu. Elihu anaendelea kuongea na mtu yeyote kwa ujumla. # mmoja miongoni mwa maelfu ya malaika, "mmoja kutoka katika kundi kubwa la malaika"