sw_tn/job/32/03.md

16 lines
475 B
Markdown

# Hasira ya Elihu iliwaka pia kinyume cha marafiki zake watatu
Hii inallingisha hasira ya Elihu na mtu anayewasha moto.
# sasa
Neno hili limetumika hapa kuonesha pumziko fupi katika habari kuu. Hii inatueleza habari za nyuma kuha
# uwa hapakuwa na jibu katika midomo ya watu hawa watatu
"kwamba watu hawa watatu walikuwa hawana kitu zaidi cha kusema"
# hasira yake iliwaka
Hii tena inalinganisha hasira ya Elihu na mtu anayewasha moto. "alikuwa mwenye hasira sana"