# Hasira ya Elihu iliwaka pia kinyume cha marafiki zake watatu Hii inallingisha hasira ya Elihu na mtu anayewasha moto. # sasa Neno hili limetumika hapa kuonesha pumziko fupi katika habari kuu. Hii inatueleza habari za nyuma kuha # uwa hapakuwa na jibu katika midomo ya watu hawa watatu "kwamba watu hawa watatu walikuwa hawana kitu zaidi cha kusema" # hasira yake iliwaka Hii tena inalinganisha hasira ya Elihu na mtu anayewasha moto. "alikuwa mwenye hasira sana"