forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
601 B
Markdown
16 lines
601 B
Markdown
# Maelezo ya jumla .
|
|
|
|
Ayubu anaanza kufafanua hali ambazo angestahili kupata hukumu ya Mungu, (zimeelezwa katika 31:22) lakini anajua kuwa hayakuwa ni ya kweli
|
|
|
|
# nimesababisha macho ya wajane yafifie kwa kulia,
|
|
|
|
Mahali hapa "yafifie" inarejelea mjane kuwa wa uwezo mbaya wa kuona kwasababu ya kulia sana.
|
|
|
|
# kipande changu
|
|
|
|
"chakula"
|
|
|
|
# tangu ujana wangu yatima walikua pamoja nami kama kuwa na baba, nami nimemwongoza mama yake, mjane, tangu katika tumbo la mama yangu mwenyewe.
|
|
|
|
Ayubu anaelezea jinsi alivyowatendea kweli mjane na yatima. "Niliwajali yatima na wajane tantu nilipokuwa mdogo sana"
|