sw_tn/job/31/03.md

8 lines
223 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Ayubu anaendelea kuzungumza
# Je Mungu hazioni njia zangu na kuzihesabu hatua zangu zote?
Mahali hapa "njia zangu" na "hatua zangu" zinarejelea tabia za Ayubu. Ayubu anatumia swali kwa ajili ya mkazo.