# Maelezo ya jumla Ayubu anaendelea kuzungumza # Je Mungu hazioni njia zangu na kuzihesabu hatua zangu zote? Mahali hapa "njia zangu" na "hatua zangu" zinarejelea tabia za Ayubu. Ayubu anatumia swali kwa ajili ya mkazo.