sw_tn/job/29/20.md

12 lines
389 B
Markdown

# heshima ndani yangu ni mpya siku zote
"watu hunipa heshima daima" au "watu huniheshimu mara kwa mara"
# upinde wa nguvu zangu ni mpya daima mkononi mwangu
"siku zote nipo imara kama upinde mpya"
# hotuba yangu ilidondoka kama maji juu yao
"hotuba yangu burudisha mioyo yao kama matone ya maji yanavyoburudisha miili ya watu" au nichosema kwao kiliwaburudisha kama matone ya maji"