# heshima ndani yangu ni mpya siku zote "watu hunipa heshima daima" au "watu huniheshimu mara kwa mara" # upinde wa nguvu zangu ni mpya daima mkononi mwangu "siku zote nipo imara kama upinde mpya" # hotuba yangu ilidondoka kama maji juu yao "hotuba yangu burudisha mioyo yao kama matone ya maji yanavyoburudisha miili ya watu" au nichosema kwao kiliwaburudisha kama matone ya maji"