sw_tn/job/29/01.md

12 lines
420 B
Markdown

# La, ningekuwa kama nilivyokuwa katika miezi iliyopita
"nitamani ningekuwa kama nilivyikuwa katika miezi ya kale"
# wakati taa yake ilipong'aa juu ya kichwa changu
Taa ya Mungu kung'aa juu Ayubu inawakilisha Mungu kumbariki Ayubu. KTN: "Wakati baraka za Mungu zilipokuwa kama taa iking'aa juu ya kichwa changu"
# wakati nilipotembea gizani kwa nuru yake
kutembe kwenye giza inawakilisha kukabiliwa na hali ngumu"