# La, ningekuwa kama nilivyokuwa katika miezi iliyopita "nitamani ningekuwa kama nilivyikuwa katika miezi ya kale" # wakati taa yake ilipong'aa juu ya kichwa changu Taa ya Mungu kung'aa juu Ayubu inawakilisha Mungu kumbariki Ayubu. KTN: "Wakati baraka za Mungu zilipokuwa kama taa iking'aa juu ya kichwa changu" # wakati nilipotembea gizani kwa nuru yake kutembe kwenye giza inawakilisha kukabiliwa na hali ngumu"