sw_tn/job/28/15.md

40 lines
1.0 KiB
Markdown

# Haiwezi kupatikana kwa dhahabu
Hii inamaanisha kuwa hekima ina anathamani zaidi kuliko dhahabu. KTN: "Watu hawawezi kulipa dhahabu kwa ajili ya kupata hekima"
# wala fedha haiweza kupimwa kwa thamani yake
Hii ina maana kwamba hekima inathamani sana kuliko fedha. KTN: "na watu hawawezi kupima fedha za kutosha ili kulipa kwa ajili ya hekima"
# Haiwezia kuthaminishwa kwa ... johari
hii inamana kuwa hekima inathamani zaidi ya dhahabu ya ofiri, inathamani kuliko oni na johari.
# ofiri
Hili ni jina la eneo ambako kulikuwa na dhahabu safi.
# oni
jiwe jeusi lenye thamani
# johari
jiwe la bluu lenye thamani sana.
# Dhahabu na fuwele haziwezi kulingana nayo kwa thamani
Hapa inamaana kuwa hekima inathamani zaidi kuliko dhahabu na fuwele.
# fuwele
jiwe la thamani lililo safi au angavu kwa rangi yake.
# wala haiwezi kubadilishwa kwa kito cha dhahabu safi
na haiwezi kubadilishwa kwa kito cha dhahabu safi." Hii inamaana kuwa hekima ina thamani zaidi kuliko kito cha dhahbu safini.
# kubadilishwa
"kuuzwa"