# Haiwezi kupatikana kwa dhahabu Hii inamaanisha kuwa hekima ina anathamani zaidi kuliko dhahabu. KTN: "Watu hawawezi kulipa dhahabu kwa ajili ya kupata hekima" # wala fedha haiweza kupimwa kwa thamani yake Hii ina maana kwamba hekima inathamani sana kuliko fedha. KTN: "na watu hawawezi kupima fedha za kutosha ili kulipa kwa ajili ya hekima" # Haiwezia kuthaminishwa kwa ... johari hii inamana kuwa hekima inathamani zaidi ya dhahabu ya ofiri, inathamani kuliko oni na johari. # ofiri Hili ni jina la eneo ambako kulikuwa na dhahabu safi. # oni jiwe jeusi lenye thamani # johari jiwe la bluu lenye thamani sana. # Dhahabu na fuwele haziwezi kulingana nayo kwa thamani Hapa inamaana kuwa hekima inathamani zaidi kuliko dhahabu na fuwele. # fuwele jiwe la thamani lililo safi au angavu kwa rangi yake. # wala haiwezi kubadilishwa kwa kito cha dhahabu safi na haiwezi kubadilishwa kwa kito cha dhahabu safi." Hii inamaana kuwa hekima ina thamani zaidi kuliko kito cha dhahbu safini. # kubadilishwa "kuuzwa"