sw_tn/job/28/09.md

24 lines
505 B
Markdown

# Binadamu huulaza makono wake juu ya mwamba mgumu
hii inamaanisha kupasua mwamba.KTN: "huchimba kwenye mwamba mgumu"
# mwamba mgumu
" mwamba gumegume"
# huipindua milima kwenye mizizi yake
"huipindua milima juu chini kwa kuvuita mizizi yake"
# macho yake huona
"huona"
# Huifunga mifereji ili istiririke
kuifunga mifereji inakilisha kuzuia majia au kuizuia mifereji ya maji.
# kilichofichwa pale
hii inarejea vitu ambavyo watu hawawezi kuviona kwa sababu vipo chini ya ardhi au chini ya maji.