# Binadamu huulaza makono wake juu ya mwamba mgumu hii inamaanisha kupasua mwamba.KTN: "huchimba kwenye mwamba mgumu" # mwamba mgumu " mwamba gumegume" # huipindua milima kwenye mizizi yake "huipindua milima juu chini kwa kuvuita mizizi yake" # macho yake huona "huona" # Huifunga mifereji ili istiririke kuifunga mifereji inakilisha kuzuia majia au kuizuia mifereji ya maji. # kilichofichwa pale hii inarejea vitu ambavyo watu hawawezi kuviona kwa sababu vipo chini ya ardhi au chini ya maji.