sw_tn/job/28/07.md

20 lines
438 B
Markdown

# Hakuna ndege mbua aijuaye njia yake ... wala hakuna jicho la tai halijaiona
KTN: "Hakuna ndege mbua au tai anayeijua au akwisha kuiona njia anayokwenda kwenye mgodi"
# ndege mbua
ndege alaye wanyama wangine
# tai
kipanga
# wanyama wenye kujivuna hawajapita kwenye njia kama hiyo...wala simba mwenye hasira hajapita pale
Virai hivi vinaeleza maana zenye kufanana
# wanyama wenye kujivuna
hii inamaanisha wanya mwitu wenye nguvu