# Hakuna ndege mbua aijuaye njia yake ... wala hakuna jicho la tai halijaiona KTN: "Hakuna ndege mbua au tai anayeijua au akwisha kuiona njia anayokwenda kwenye mgodi" # ndege mbua ndege alaye wanyama wangine # tai kipanga # wanyama wenye kujivuna hawajapita kwenye njia kama hiyo...wala simba mwenye hasira hajapita pale Virai hivi vinaeleza maana zenye kufanana # wanyama wenye kujivuna hii inamaanisha wanya mwitu wenye nguvu