sw_tn/job/28/05.md

16 lines
500 B
Markdown

# ardhini ambamo hutoka mkate
mkate unawakilisha chakula kwa ujumla. chaakula hutoka kwenye ardhi ni sitiari kwmab chakuka hukua kwenye ardhi. KTN: "ardhini ambapo chakula hustawi"
# hugeuzwa chini kama kwa moto
hii inaweza kumaanisha 1) watu waliwasha moto chini ardhi ili kubomoa sehemu za mwamba 2) huboma chini sana kama kwamba kuteketeza kwa moto"
# hugeuzwa...mawe yake ...vumbi lake
maneno yake, lake yanamaana ya ardhi
# Johari
neno hili linamaana ya jiwe la bluu lenye thamani sana.