# ardhini ambamo hutoka mkate mkate unawakilisha chakula kwa ujumla. chaakula hutoka kwenye ardhi ni sitiari kwmab chakuka hukua kwenye ardhi. KTN: "ardhini ambapo chakula hustawi" # hugeuzwa chini kama kwa moto hii inaweza kumaanisha 1) watu waliwasha moto chini ardhi ili kubomoa sehemu za mwamba 2) huboma chini sana kama kwamba kuteketeza kwa moto" # hugeuzwa...mawe yake ...vumbi lake maneno yake, lake yanamaana ya ardhi # Johari neno hili linamaana ya jiwe la bluu lenye thamani sana.