forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.1 KiB
Markdown
24 lines
1.1 KiB
Markdown
# Kwa pumzi yake alisafisha anga
|
|
|
|
"pumzi" au "puliza" ni sura ya kuwakilisha kitendao cha Mungu kusababisha upepo yayasukume mawingu. KTN: " Kwa pumzi, Mungu alisafisha anga" au "Mungu aliyapuliza mawingi hata anga likawa safi"
|
|
|
|
# mkono wake ulimemchoma nyoka mwenye kukimbia.
|
|
|
|
"mkono wake" unawakilisha upanga wa Mungu na 'kumchoma' linawakilisha mauaji. KTN: "Kwa upanga wake alimchoma nyoka mwenye kukimbia"
|
|
|
|
# nyoka mwenye kukimbia.
|
|
|
|
" nyoka huyu alikuwa anajaribu kumtoroka" zingatia 26:11
|
|
|
|
# Tazama, walakini hivi ni viunga vya njia zake
|
|
|
|
Hapa "viunga" vinawakilisha sehemu ndogo ya kitu kikubwa inayoweza kuonekana.KTN: "Tazama vitu hivi ambavyo Mungu amavifanya vinaonyesha sehemu ndogo sana ya uwezo wake mkuu"
|
|
|
|
# ni mnong'ono mdogo kiasi gani tunasikia kutoka kwake
|
|
|
|
KTN: " Tunasikia tu mnong'ono wake wa utulivu"
|
|
|
|
# ni nani anawezakufahamu ngurumo ya nguvu zake?
|
|
|
|
"ngurumo ya nguvu zake" inawakilisha ukuu wote wa yale anayoyafanya Mungu. Ayubu anaelezea kuwa nguvu za Mungu ni kuu sana kiasi kwamba hakuna mtu mwenye kuzifahamu. KTN: "hakuna mwenye kufahanu ukuu wa nguvu zake"
|