sw_tn/job/26/07.md

12 lines
429 B
Markdown

# hulinyosha anga la kaskazini juu ya nafasi wazi
anga la kaskazini linawakilisha mbingu, sehemu ambapo Mungu huishi pamoja na viumbe alivyoviumba huko.
# huyafunga maji kwenye mawingu yake mazito
mawingu yanazungumziwa kana kwamba ni bulanketi kubwa ambapo Mungu huyafunga maji ya mvua. KTN: "Huyafunga maji katika mawingu yake mazito"
# walakini mawingu hayapasuki chini yake
KTN: "Lakini uzito wa maji haupasui mawingu"