sw_tn/job/24/13.md

16 lines
516 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# huasi dhidi ya mwanga
maana ya mwanga
# hawazijui njia zake, wala hawakai katika mapito yake
hii mistari miwili inaeleza kitu kile kile, na inatumika kwa pamoja kusisitiza kwamba hawataki kufuata njia ya mwanga. KTN: "hawajui jinsi ya kuishi maisha yenye maadili; hawataki kuisha maisha ya haki"
# masikini na watu wahitajia
maneno "masikini" na "wahitaji" yanarejea kundi moja la watu na kusisitiza kuwa watu hawa ni watu ambao hawawezi kijisaidia wenyewe.