# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # huasi dhidi ya mwanga maana ya mwanga # hawazijui njia zake, wala hawakai katika mapito yake hii mistari miwili inaeleza kitu kile kile, na inatumika kwa pamoja kusisitiza kwamba hawataki kufuata njia ya mwanga. KTN: "hawajui jinsi ya kuishi maisha yenye maadili; hawataki kuisha maisha ya haki" # masikini na watu wahitajia maneno "masikini" na "wahitaji" yanarejea kundi moja la watu na kusisitiza kuwa watu hawa ni watu ambao hawawezi kijisaidia wenyewe.