sw_tn/job/24/01.md

12 lines
665 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# kwa nini nyakati za kuwahukumu watu waovu hazijapangawa na Mwenyezi?
Ayubu anatumia swali hili kuelezea fadhaa zake kuwa Mungu hajawahukumu waovu. KTN: " Sielewi kwa nini Mungu hajapanga muda ambapo atawahukumu watu waovu." au "Mwenyezi angapnga muda ambapo angewahukumu watu waovu"
# Kwa nini wale ambao ni waaminifu kwa Mungu huona siku zake za hukumu zikija?
Ayubu anatumia swali hili kuelezea fadhaa zake kuwa wenye haki hawajamwona Mungu akihukumu uovu. KTN: "Inaonekana kuwa wale ambao humtii Mungu hawamwoni akiwahukumu waovu" au "Mungu angeonyesha siku ambapo atawahukumu waovu kwa wale wenye kumjua"