sw_tn/job/23/03.md

28 lines
622 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea
# Laiti, ningejua ambapo ... laiti, ningekuja
mistari hii miwili inamaana moja na inasisitiza hamu ya Ayubu kukutana na Mungu.
# ningempata
" ningempata Mungu"
# Ingeweka dawaa yangu ... kukijaza kinywa changu
mistari hii miwili inamaana moja na inasisitiza hamu ya Ayubu kueleza hali ya ke kwa Mungu.
# kukijaza kinywa changu kwa hoja
KTN: "ningezungumza hoja za ngu zote"
# Ningejifunza maneno ... ambacho angesema kwangu
mistari hii miwili inamaana moja na inasisitiza hamu ya Ayubu kusikia jibu la Mungu.
# maneno ambayo angenijibu
"jibu ambalo angelinipa"