# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # Laiti, ningejua ambapo ... laiti, ningekuja mistari hii miwili inamaana moja na inasisitiza hamu ya Ayubu kukutana na Mungu. # ningempata " ningempata Mungu" # Ingeweka dawaa yangu ... kukijaza kinywa changu mistari hii miwili inamaana moja na inasisitiza hamu ya Ayubu kueleza hali ya ke kwa Mungu. # kukijaza kinywa changu kwa hoja KTN: "ningezungumza hoja za ngu zote" # Ningejifunza maneno ... ambacho angesema kwangu mistari hii miwili inamaana moja na inasisitiza hamu ya Ayubu kusikia jibu la Mungu. # maneno ambayo angenijibu "jibu ambalo angelinipa"