sw_tn/job/22/18.md

20 lines
467 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu
# mipango ya waovu ipo mbali nami
"mbali nami" ni nahau ambayo inamaanisha kuwa Elifazi anawakana waovu. KTN: "lakini sitasikiliza mipango yao miovu"
# huona maangamizi yao
"hujua kitakacho tokea kwa waovu"
# huwcheka kwa dharau
"hudhihaki watu waovu"
# wale walio inuka juu dhidi yetu wamekatiliwa mbali.
"walio inuka juu" inamaanisha watu waovu. KTN: "Mungu amewaharibu watu waovu waliotuumiza"