# Sentensi Unganishi Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu # mipango ya waovu ipo mbali nami "mbali nami" ni nahau ambayo inamaanisha kuwa Elifazi anawakana waovu. KTN: "lakini sitasikiliza mipango yao miovu" # huona maangamizi yao "hujua kitakacho tokea kwa waovu" # huwcheka kwa dharau "hudhihaki watu waovu" # wale walio inuka juu dhidi yetu wamekatiliwa mbali. "walio inuka juu" inamaanisha watu waovu. KTN: "Mungu amewaharibu watu waovu waliotuumiza"