forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
442 B
Markdown
8 lines
442 B
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Elifazi anaendelea kuongoa kwa Ayubu.
|
|
|
|
# Je anakukemea na kukuhukumu kwa sababu ya kumcha yeye? Je uovu wako siyo mkuu? Je hapana mwisho wa maovu yako?
|
|
|
|
Elifazi anatumia maswali kumkaripia na kumlaumu Ayubu kwa kutenda dhambi za kutisha. KTN: "Ni kuwa kuwa hujajitoa kwake kikamilifu ndiyo maana Mungu anakukea na kukuhukumu! Hapana, kama ujuavyo, anakuhukunu kwa sababu uovu wako ni mkuu na unaendelea kutenda dhambi"
|