sw_tn/job/21/25.md

24 lines
595 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake.
# mtu mwingine hufa
Ayubu anamlinganisha mtu huyu na mtu ambaye hufa katika amani 21:22
# katika uchungu wa roho
"Roho" inamaanisha mwanadamu kamili. KTN: 'kwa uchungu na majuto" au " baada ya kuishi maisha ya huzuni"
# pasipo kuonja mema yoyote
KTN:"akiwa ameonja vitu vibaya tu"
# Hao vilevile hulala chini katika mavumbi
Hii ni kusema kwa staha kuwa hao hufa. KTN: " Hao wote hufa na watu huwazika"
# Minyoo huwafunika wote
minyoo huhusiana na kuoza kwa mizoga. KTN "katika uchafu minyoo hula mizoga ya miili yao"