# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake. # mtu mwingine hufa Ayubu anamlinganisha mtu huyu na mtu ambaye hufa katika amani 21:22 # katika uchungu wa roho "Roho" inamaanisha mwanadamu kamili. KTN: 'kwa uchungu na majuto" au " baada ya kuishi maisha ya huzuni" # pasipo kuonja mema yoyote KTN:"akiwa ameonja vitu vibaya tu" # Hao vilevile hulala chini katika mavumbi Hii ni kusema kwa staha kuwa hao hufa. KTN: " Hao wote hufa na watu huwazika" # Minyoo huwafunika wote minyoo huhusiana na kuoza kwa mizoga. KTN "katika uchafu minyoo hula mizoga ya miili yao"