forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.3 KiB
Markdown
40 lines
1.3 KiB
Markdown
# Habari za Jumla:
|
|
|
|
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake watatu.
|
|
|
|
# Tazama,
|
|
|
|
Neno hili "Tazama" linatia mkazo unaofuata."Haswa"
|
|
|
|
# dhuluma!"
|
|
|
|
Hiki ni kilo cha ajili ya msaada. "dhuluma! Msaada! Mimi nimekuwa nikishambuliwa!"
|
|
|
|
# Mimi ninaita kwa ajili ya msaada,
|
|
|
|
Mimi ninapiga kelele kwa ajili ya msaada" "Ninalia kwa ajili ya msaad"a
|
|
|
|
# lakini hakuna haki.
|
|
|
|
Jina dhahania "haki"linaweza kutafsiriwa katika tungo hivi: "lakini hakuna hata mmoja anayenilinda mimi kutoka kwa hao wanaotenda mabaya kwangu"
|
|
|
|
# Yeye ameiwekea ukuta .... giza katika njia yangu
|
|
|
|
"Mungu ameweka ukuta katika njia ambayo kwayo Mimi ninapita juu yake" au "Yeye ameifunga njia hivyo siwezi kuendelea kupita"
|
|
|
|
# Yeye ameiwekea ukuta njia yangu, ili kwamba mimi nisiweze kupita, na yeye ameweka giza katika njia yangu
|
|
|
|
Ayubu anatumia picha hii kusema kwamba Mungu amemfanya yeye kujisikia kukosa msaada na bila tumaini.
|
|
|
|
# Yeye ameniondoa Mimi kutoka katika utukufu wangu
|
|
|
|
Ayubu anatumia picha hii kusema kwamba Mungu amechukua heshima yake njema, mali, na mafanikio mbali kutoka kwake.
|
|
|
|
# Yeye ameniondoa Mimi kutoka katika utukufu wangu
|
|
|
|
Ayubu anazungumza juu ya uttukufu wake kana kwamba kulikuwa na mwizi yule Mungu.
|
|
|
|
# ameichukua taji kutoka kwenye kichwa changu mimi
|
|
|
|
Taji inaashiria utu wa Ayubu au heshima. "yeye ameiondolea mbali taji ya kichwa changu"
|