sw_tn/job/17/04.md

24 lines
734 B
Markdown

# habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza.
# umeitunza mioyo yao
Neno "yao" linamaanisha rafiki zake yeye. Wao wamesemwa kwa "mioyo yao" kusisitiza hisia zao."umewatunza wao" au "umewatunza rafiki zangu mimi"
# hautawaheshimisha wao juu yangu mimi.
"wewe hautawaruhusu wao kushinda juu yangu"
# Yeye ambaye
"Mtu yeyote ambaye"
# huwapinga rafiki zake hadharani, kwa ajili ya tuzo
"kwa uongo anawashitaki rafiki zake kwa ajili ya kupata faida" au "huwasaliti rafiki zake ili kupokea tuzo"
# macho ya watoto wake yatashindwa kuona.
Watoto wa mtu wamesemwa hapa kwa "macho yao." Tungo hii inawaelezea watoto wanateseka kwa sababu ya kile ambacho baba zao au mama zao walifanya. " watoto wake watateseka kwa ajili yake"