# habari za Jumla: Ayubu anaendelea kuzungumza. # umeitunza mioyo yao Neno "yao" linamaanisha rafiki zake yeye. Wao wamesemwa kwa "mioyo yao" kusisitiza hisia zao."umewatunza wao" au "umewatunza rafiki zangu mimi" # hautawaheshimisha wao juu yangu mimi. "wewe hautawaruhusu wao kushinda juu yangu" # Yeye ambaye "Mtu yeyote ambaye" # huwapinga rafiki zake hadharani, kwa ajili ya tuzo "kwa uongo anawashitaki rafiki zake kwa ajili ya kupata faida" au "huwasaliti rafiki zake ili kupokea tuzo" # macho ya watoto wake yatashindwa kuona. Watoto wa mtu wamesemwa hapa kwa "macho yao." Tungo hii inawaelezea watoto wanateseka kwa sababu ya kile ambacho baba zao au mama zao walifanya. " watoto wake watateseka kwa ajili yake"