forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.2 KiB
Markdown
32 lines
1.2 KiB
Markdown
# kuomboleza
|
|
|
|
Ayubu amepitia majonzi mazito ya kupoteza familia yake na afya hiyo ni haielezeki na kwa hiyo, inamsababishia yeye "huzuni kubwa na maumivu ya hisia."
|
|
|
|
# jinsi gani mimi ninasaidiwa?
|
|
|
|
Ayubu anatumia swali hili la kizushi kueleza kuwa kunyamaza kimya hakupunguzi huzuni yake yeye. Swali hili laweza kuandikwa bila kuwekwa katika hali ya swali. "hainisaidii mimi hata kidogo."
|
|
|
|
# Lakini sasa, Mungu wewe
|
|
|
|
Ayubu sasa anarudisha lalamiko lake kwa Mungu.
|
|
|
|
# umeifanya familia yangu yote kuwa ukiwa.
|
|
|
|
"umeharibu familia yangu yote"
|
|
|
|
# Wewe umenifanya mimi kukauka,
|
|
|
|
Sentensi hii inamaanisha kuwa mwili wa Ayubu umekonda na kuwa na mikunjamano. "Wewe umeufanya mwili wangu kukonda"
|
|
|
|
# ambayo yenyewe ni ushuhuda dhidi yangu mimi
|
|
|
|
Ayubu anaelezea kukonda kwa mwili wake kama vile ulikuwa kama mshitaki dhidi yake "na watu wanafikiri kuwa unanionyesha mimi kuwa ni mwenye dhambi"
|
|
|
|
# kukonda kwa mwili wangu huinuka dhidi yangu, na kunashuhudia dhidi
|
|
|
|
Ayubu anaelezea hali ya kukonda kwa mwili wake kama vile ulikuwa mshitaki dhidi yake yeye. "Wote wanaona jinsi mwili wangu ulivyokonda, na wanafikiri hicho kinathibitisha kuwa mimi ni mwenye hatia"
|
|
|
|
# dhidi ya macho yangu.
|
|
|
|
Hapa Ayubu anazungumzia kwa "uso "wake. "dhidi yangu mimi"
|