forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.1 KiB
Markdown
28 lines
1.1 KiB
Markdown
# Mimi ningekusanya na kuunganisha maneno pamoja
|
|
|
|
"Mimi ningefikiri vitu vya kuzungumza"
|
|
|
|
# tikisa kichwa changu
|
|
|
|
Hiki ni kitendo ambacho kinaonyesha kutokukubalika.
|
|
|
|
# katika dhihaka
|
|
|
|
Neno "mzaha" laweza kuelezwa kama kitenzi "kukudhihaki wewe"
|
|
|
|
# Laiti, jinsi gani Mimi ningewatia moyo na midomo yangu! Jinsi gani faraja kutoka midomo yangu ingenga'risha huzuni yenu!
|
|
|
|
Hapa Ayubu anazungumza kwa kumaanisha kinyume cha kile anachokizungumza. "Maneno yangu kwa hakika yangekuwa hayawatii moyo ninyi" Wao hakika hawaing'arishi huzuni yako wewe" au " Kwa uzungumza kwako kama mlivyozungumza kwangu hapa manzo, Mimi nisingewatia moyo ninyi au kuinga'risha huzuni yenu"
|
|
|
|
# na midomo yangu!
|
|
|
|
katika sentensi hii "mdomo" wa Ayubu unawakilisha kile ambacho yeye anasema. "Kwa kile ambachop mimi ninasema"
|
|
|
|
# faraja kutoka midomo yangu
|
|
|
|
Sentensi hii ina maanisha maneno yenye kutia moyo ambayo anayazungumza. "maneno yangu ya kutia faraja"
|
|
|
|
# ingenga'risha huzuni yenu!
|
|
|
|
Hapa huzuni imezungumzwa kama ilikuwa mzigo mzito wa mwili. "ingepunguza huzuni yako " au " ingewasaidia kujisikia asiye na huzuni"
|