forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
608 B
Markdown
12 lines
608 B
Markdown
# ninyi nyote ni wafariji wenye kuhuzunisha.
|
|
|
|
"Badala ya kunifariji mimi, ninyi nyote mnanifanya kuwa mwenye kuhuzunika"
|
|
|
|
# Maneno yenye upuuzi daima yanaweza kuwa na mwisho?
|
|
|
|
Ayubu anatumia swali hili la kizushi kuonyesha kwamba yeye anapenda kwamba wao wangeacha kuzungumza maneno yasiyo na faida. "Jinsi gani mimi ningependa maneno yenu yasiyo na maana yakome.!
|
|
|
|
# Nini kimeharibika kwenu kwamba mnajibu kama hivi?
|
|
|
|
Ayubu anatumia swali hili la kejeli kumkemea Elifazi. Neno "wewe" linamaanisha Elifazi ambaye amemaliza punde kuzungumza kwa Ayubu. "Elifazi, wewe unapaswa kuacha kunijibu mimi kama hivi"
|