forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.2 KiB
Markdown
28 lines
1.2 KiB
Markdown
# Kwa nini moyo wako wewe unakupeleka mbali?
|
|
|
|
hapa " moyo" unawakilisha hisia za mtu. " kwa nini hisia zako zinakupeleka mbali" au Kwa nini wewe unaruhusu hisia zako kuongoza uamuzi wako?
|
|
|
|
# Kwa nini macho yako yananga'ra
|
|
|
|
Sentensi hii imaanisha Ayubu kuonekana mwenye hasira Kwa uwazi kabisa muonekano wa mcho yake yeye. " Kwa nini macho yako yanaonekana mwenye hasira" au "Kwa nini wewe unakasirika"
|
|
|
|
# kuirejesha roho yako
|
|
|
|
hapa neno "roho" linamaanisha utu wote wa mtu. "geuka wewe mwenyewe"
|
|
|
|
# kuyatoa maneno hayo kutoka katika mdomo wako
|
|
|
|
hapa inamwelezea "yeye akizungumza na hivyo wewe wasema vitu vya kuumiza dhidi yake yeye"
|
|
|
|
# Je, mwanadamu yeye ni nini kwamba yeye anapaswa kuwa safi?
|
|
|
|
Maswali haya mawili kimsingi ni kitu kimoja na yametumika pamoja kusisitiza kuwa mtu hawezi kuwa mkamilifu"
|
|
|
|
# safi
|
|
|
|
mtu ambaye Mungu humfikiria kuwa kiroho amekubalika amezungumzwa kama mtu ambaye kimwili alikuwa safi.
|
|
|
|
# mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni nini kwamba yeye anapaswa awe mwenye haki?
|
|
|
|
Swali hili la kizushi limeulizwa kusisitiza kwamba mtu hawezi kabisa kuwa "mkamilifu." Bila kutumia swali sentensi hii yaweza kusomeka hivi: "Mtu aliyezaliwa kutoka kwa mwanamke kamwe hawezi kuwa mkamilifu."
|